Matokeo ya kidato cha nne kwa Mwaka 2023 yametoka leo baada ya kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania. Jumla ya Shule 23 za Sekondari zilifanya mtihani huo. Wanafunzi waliofanya mitihani 2,812 waliofaulu Mtihani wa kidato cha nne 2,785 ambapo imepelekea Halmashauri kupata ufaulu wa asilimia 99.04.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa