Mh. Martin Shigella, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro avutiwa na ufanisi wa utendaji kazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, katika kusimamia Miradi ya maendeleo, kutumia vizuri fedha za mapato ya ndani, fedha zinazotoka serikali Kuu na kusimamia taaluma. Amewataka wananchi kuweza kujitoa katika kushiriki maendeleo ya Halmashauri.
Mhe. Martin Shigella, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akihutubia wananchi wa kata ya Mchombe.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa