Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Eng. Stephano B. Kaliwa amewakabidhi pikipiki maafisa Mifugo wa kata ili kurahisisha utendaji wa kazi katika maeneo yao. Mkurugenzi amewaagiza maafisa hao kusimamia Majukumu yao ipasavyo na kuhakikisha pikipiki hizo zinatumika katika kazi tu.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa