• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MLIMBA DISTRICT COUNCIL
MLIMBA DISTRICT COUNCIL

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/ Asili
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
      • Muonekano wa muundo
    • Idara/ Vitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Miundombinu
      • Fedha na Biashara
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, Takwimu na ushirika
      • Mazingira na Usafi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi, Maliasili na Mazingira
      • Ufugaji na uvuvi
      • CHF iliyoboreshwa
      • Sheria
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Msingi
      • Sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
    • Rasilimali watu
    • TEHAMA
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, utawala na mipango
      • Elimu, Afya na maji
      • Uchumi, Ujenzi na mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kumuona mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
      • PICHA ZA MIRADI YA MAPAMBANO DHINI YA UVICO

WALIMU WA SEKONDARI MLIMBA NA MTAALA MPYA WA ELIMU

Posted on: January 20th, 2025

TAARIFA KWA UMMA

Halmashauri ya Wilaya Mlimba inawajulisha wananchi na wadau wa elimu kuhusu mafunzo ya Mtaala Mpya wa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari, yaliyo fanywa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa njia ya mtandao.

Mafunzo hayo yalifanyika kwa siku mbili katika mikoa ya Mbeya, Morogoro na Pwani tarehe 16 na 17 Januari 2025, ambapo walimu kutoka shule zote za sekondari za Halmashauri ya Wilaya Mlimba walishiriki kwa njia ya mtandao wakiwa katika vituo saba vilivyo teuliwa. Miongoni mwa vituo hivyo ni Uchindile, Mlimba, Masagati, Mutenga, Nakaguru na Mbingu.

Mafunzo hayo yaliyo walenga walimu wa shule za sekondari yalijikita katika mtaala mpya ambao umekusudiwa kukuza umahiri kwa wanafunzi katika nyanja mabalimbali za elimu ili kuwawezesha kujitambua na kuwa na ujuzi wa kutatua changamoto mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), maboresho ya mtaala yamefanyika pia katika elimu ya ualimu, ambapo kuanzia sasa, taaluma ya ualimu haitakuwa na ngazi ya cheti. Badala yake, itaanzia ngazi ya Diploma kwa walimu wa shule za msingi na Shahada kwa walimu wa shule za sekondari. 

Aidha, walimu watahitaji kufanya mafunzo ya mwaka mmoja (internship) kabla ya kuanza kazi rasmi. Pia, walimu watatakiwa kupata Leseni ya Kufundishia kabla ya kuanzisha shughuli za ufundishaji.

Halmashauri ya Mlimba itaendelea kushirikiana na Taasisi ya Elimu (TET) na wadau wegine kuhakikisha utekelezaji mzuri wa mtaala huu mpya, na walimu wote wanaendelea kupata mafunzo muhimu yatakayo wawezesha kutoa elimu bora kwa wanafunzi.

MWISHO

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,

20.01.2025


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025 July 03, 2025
  • TANGAZO LA KUTEULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO WASIMAMIZI, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA MWAKA 2025 November 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • NAIBU KATIBU MKUU WA TAMISEMI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFYA AZURU MLIMBA DC

    November 19, 2025
  • MWANZO WA SAFARI YA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA KATI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YANZANZIBAR NA HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA

    October 23, 2025
  • TAARIFA YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WALOFANYA MTIHANI WA TAIFA 2025 MLIMBA DC

    October 23, 2025
  • MKURUGENZI MLIMBADC AFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YA MKOA YA USIMAMIZI WA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

    October 17, 2025
  • Angalia zote

Video

Kupata Madarakani au cheo hakukufanyi kujua kila kitu. Maneno ya hekima kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu Mhe. Mhe. Dkt Doto Biteko
video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya maombi ya ruhusa
  • Fomu ya utambulisho benki
  • Fomu ya Kuhuisha Uanachama CHF iliyoboreshwa
  • Wasifu wa Wilaya
  • Muundo wa Halmashauri
  • Eneo la Kijiografia
  • Fursa za Uwekezaji Kilombero

Viunganishi linganifu

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Idara kuu ya Takwimu (NBS)
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

kitafutio cha watembeleaji wa duniani

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Mngeta Kijiji cha Itongoa

    Anuani: P.O.BOX 263

    Simu: 023 293 1523

    Mobile: 0232931523

    Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa