Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Eng. Stephano B. Kaliwa amewaelekeza Wenyeviti wote wa Vijiji kutambua changamoto zote zinazowakabili wananchi wa maeneo yao na kuyapatia ufumbuzi ili kuondoa malalamiko ya wananchi. Pia Mkurugenzi Mtendaji amepiga marufuku kutumia ofisi za vijiji kufanya Mazungumzo yasiyo ya kiofisi.
Mngeta Kijiji cha Itongoa
Anuani: P.O.BOX 263
Simu: 023 293 1523
Mobile: 0232931523
Barua pepe: ded@kilomberodc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa