Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kilombero limepitisha azimio la kuhamishia makao makuu ya Halmashauri katika tarafa ya Mngeta ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli ambapo alizitaka Halmashauri 31 ambazo maeneo yao ya utawala yapo nje ya Halmasahuri zao kuhama mara moja katika kipindi cha siku 30 kuanzia tarehe 07.10.2019
AKITOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA BARABARA WILAYANI KILOMBERO, KWA KIWANGO CHA RAMI KUTOKA KIDATU HADI IFAKARA MJINI....
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.Haki zote zimehifadhiwa