Posted on: January 5th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, leo tarehe 05/01/2023 imetoa mikopo ya Tsh. 678,790,853.11 kwa vikundi 52, vikiwemo vikundi 32 vya Wanawake na vikundi 20 vya vijana.Jumla ya pikipiki 108 zimekabidhiw...
Posted on: December 28th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anaipongeza na kuishukuru serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa ki...
Posted on: December 15th, 2022
Jumla ya Wanafunzi 5807 kutoka Halmashauri ya Wilaya Mlimba wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 katika shule mbalimbali za Sekondari nchini. Wanafunzi 3027 ni wanaume sawa na 52% na ...