Posted on: January 19th, 2018
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilombero inakadiriakukusanya kiasi cha shilingi bilioni 3,942,213,600.00 kutoka vyanzo vyake vya ndanikwa mwaka Wa Fedha 2018/2019.
Akizungumza katika kikao maalum cha kup...
Posted on: January 16th, 2018
BAA la uharibifu wa mazao limejitokeza katika wilaya ya Kilombero baada ya panya waharibifu wa mazao kushambulia mazao ya mpunga na mahindi na kusababishia hasara wakulima.
Panya hao wameanza uhari...
Posted on: January 12th, 2018
VIJJI vitatu vya Signali, Sululu na Sakamaganga vilivyopo kata ya Signal wilaya ya kilombero mkoani Morogoro vimemaliza mgogoro mkubwa wa mipaka yake na hivyo kuwa kwenye fursa ya kunufaika na mradi w...