Posted on: May 24th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imekabidhi hundi ya Sh Milioni 500 kwa vikundi 44 vya Wanawake na Watu wenye Ulemavu pamoja na Pikipiki 52 zenye thamani ya TSh Milioni 135 kwa vikundi 44 vya vijana ka...
Posted on: June 1st, 2022
Mhe. Hanji Yusuph Godigodi, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero amekitembelea kikundi cha Vijana Tuamke na kukagua Shughuli ya uzalishaji mafuta ya Mawese inayofanywa na kikundi hiko cha Vijana kutoka kat...