Posted on: June 23rd, 2017
Katibu tawala mkoa wa Morogoro Mh. Clifford Tandari ameipongeza halmashauri ya wilaya Kilombero kwa kuendesha kwa ufanisi mkubwa zoezi la utambuzi wa mifugo hali inayopelekea Halmashauri zingine kuja ...
Posted on: June 17th, 2017
Mkuu wa wilaya ya mvomero Mwalim Mohamed Utari amekabidhi rasmi mbio za mwenge wa uhuru 2017 kwa mkuu wa wilaya ya Kilombero Mh. James Ihunyo.
Awali kabla ya kukabidhi mwenge huo Utari ali...
Posted on: June 11th, 2017
1.Ujenzi wa miundombinu ya maji katika Vijiji vya Msolwa Station na Nyange.
2.Ufugaji nyuki kikundi cha Juhudi na Maarifa kijiji cha Mang’ula A
3.Ujenzi wa chumba cha upasu...