Posted on: February 2nd, 2023
Mhe. Dunstan Kyobya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero ametembelea shule ya sekondari Nakaguru katika maadhimisho ya siku ya Ardhi oevu na ameagiza kila mwanafunzi apande na mti na kuutunza.
...
Posted on: January 23rd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa amesema wazazi ambao hawajapeleka watoto shule kujiunga na darasa la Awali, darasa la Kwanza na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ...
Posted on: January 11th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imetekeleza mkataba wa utendaji kazi na usimamizi wa elimu kati ya Maafisa elimu Msingi na Sekondari pamoja na Maafisa elimu Kata 16 zote za Halmashauri
P...