Posted on: May 12th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba limeketi na kupitisha taarifa za utekelezaji na miradi ya maendeleo kwa kipindi Cha robo ya tatu 2023/2024. Pamoja na mambo mengine ya utekelezaji wa...
Posted on: May 8th, 2024
Mhe. Innocent Mwangasa Mwenyekiti wa Halmashauri ameongoza Mkutano wa Baraza la Kata la robo ya tatu kwa mwaka 2023/2024 na kujadili taarifa mbalimbali za utekelezaji wa kazi za kawaida za kata. Katik...