Posted on: November 10th, 2017
Katibu tawala mkoa wa Morogoro Mh. Clifford Tandari ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Kilombero baada ya kufanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2017.
...
Posted on: November 8th, 2017
Mradi wa maji wa kata ya Msolwa stesheni ambao unasambaza maji katika vijiji vya Msolwa stesheni na Nyange katika kata hiyo umekamilika kwa asilimia 95 baada ya kukaguliwa na mkuu wa wilaya ya Kilombe...
Posted on: November 7th, 2017
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero Mh Dennis Londo katika kikao cha kazi cha watendaji wa kata na vijiji ambapo pia kiliwahusisha wakuu wa idara na viten...