Posted on: September 13th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Kilombero imetoa mafunzo juu ya uendeshwaji wa skimu za umwagiliaji baada ya wajumbe kutoka halmashauri ya mji wa geita kutembelea skimu za umwagiliaji Kilombero.
...
Posted on: August 8th, 2017
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOMBERO KUJIPANGA KUANDAA MAONESHO YA NDANI YA WAKULIMA
Katika kuhakikisha wakulima wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero wanapata fursa ya kuonesha bidhaa...
Posted on: August 5th, 2017
Naibu waziri ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Mh. Seleman Jaffo ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero pamoja na watumishi...