Posted on: December 28th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Kilombero imekokotoa upya viwango vya ushuru vya mpunga kutoka shilingi 2500 hadi kufikia shilingi 1700 kwa gunia la debe saba.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiy...
Posted on: December 12th, 2017
Mheshimiwa Elias Kwandika akiwa katika ziara yake kikazi Wilayani kilombero,mkoani Morogoro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ,ambapo aliweka wazi Miradi ya serikali iliyoelekezwa katika wilaya ...
Posted on: November 10th, 2017
Katibu tawala mkoa wa Morogoro Mh. Clifford Tandari ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Kilombero baada ya kufanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2017.
...