Posted on: November 5th, 2018
Pichani juu: mmoja wa wananchi waliojitokeza kwenye huduma hizo za kupima afya na kupata tohara akipata huduma hiyo
Mradi wa furaha yangu uliozinduliwa na mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt Kebwe Steven...
Posted on: October 30th, 2018
SERIKALI kuu imeipatia kiasi cha shilingi milioni 700 halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kwa ajili ya kuboresha vituo vya Afya na kununulia vifaa tiba.
Mwenyekiti Wa halmashauri hiyo David Ligazio ...