Posted on: May 18th, 2018
Pichani baadhi ya walimu wakichukua vitabu vya kufundishia na kujifunzia mapema jana katika ofisi ya vifaa na takwimu kwa shule za msingi kwa halmashauri ya wilaya kilombero.
Halmashauri ya Wilaya ...
Posted on: May 11th, 2018
Pichani ni Mratibu wa mradi wa shirika la children in Crossfire ndugu Frank Samson akitoa mafunzo kwa baadhi ya waratibu wa elimu kata na baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya kilombero.
...
Posted on: May 7th, 2018
pichani juu mheshimiwa Rais John Magufuli, akizindua Daraja la mto Kilombero.
Rais John Pombe Magufuli amezindua daraja la mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la Magufuli
Akitangaza ji...