Posted on: April 24th, 2017
Watu watatu wamejeruhiwa baada ya kung'atwa na mamba katika kijiji cha Nyamwezi kata ya Kiberege katika halmashauri ya wilaya ya Kilombero.
Afisa mtendaji wa kijiji cha Nyamwezi Bi. Neema ...
Posted on: March 25th, 2017
MKUU Wa Wilaya ya Kilombero James Ihunyo amesema kuwa baada ya Machi 31 mwaka huu Mifugo iliyosajiliwa NA kuwekwa alama ndiyo itajayotambuliwa wilayani humo na isiyokuwa NA alama itabidi iondolewe las...
Posted on: January 2nd, 2017
ZAIDI ya kaya 10 katika kata ya Uchindile wilayani Kilombero zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuteketea kwa moto na ekari zaidi ya 6000 za miti kuungua na hadi sasa chanzo cha moto huo bado h...